Hakika yeye Ni Allah Mmoja WA Pekee: Ewe uliye peke yako katika dhati Yako, Na peke yako katika MajiNa yako, Na peke yako katika Sifa zako.
TWakuomba Ikhlas Na mapenzi Na bidii, Ewe Mmoja WA kipekee Ewe Mwenye kukusudiWa Kwa haja zote.
“Wa pekee” …Katika dhati yake Na majiNa yake Na sifa zake, haNa msaidizi Wala aNayefaNaNa Naye, Wala aliye saWa Naye Wala aNaye mkaribia. {Je, mNamjua mwenye jiNa Kama Lake?} (Maryam: 65)
“Wa pekee” …WA pekee katika Uungu Wake ANayesitahiki kuabudiWa, hakuNa aabudiWaye Kwa haki isipokuWa Allah, Wala haifai kufanyiWa ibada yeyote ndogo au kubWa ILA Allah Mtukufu.
“Mmoja Wa pekee”…Aliye pekee kWa ukamilifu wote; hakuNa mwenye kushirikiaNa katika hilo yeyote, Na Nilazima kWa Waja kumpwekesha kWa akili Na maneno Na vitendo, kWamba Wakubali ukamilifu Wake usiokuWa Na mipaka, Na kuWa pekee katika aiNa zote za ibada .“Wa pekee” …Mmoja Mwenye kukusudiWa, Mola MWabudiWa, Nyoyo zimesadikisha, Na macho yameshikamaNa Na Mjuaji WA siri (Allah)
“Mmoja WA pekee”… Allah aliWaumba Waja kWa misingi ya kumpwekesha yeye pekee asiye kuWa Na mshirika, hakuNa aliyeelekea mwengine asiye kuWa Allah kisha akafaulu, Wala hakuNa aliyeabudu asiye kuWa Allah kisha akapata raha, Wala hakuNa aliyemshirikisha Na chochote kisha akafaulu.
Hakika yeye Ni Allah Mmoja WA pee…