Allah Mwenye Hekima

Allah Mwenye Hekima

Allah Mwenye Hekima

Hakika yeye Ni Allah Mwenye hekima: {KWaNi Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote?} (At-tin: 8)

“Mwenye hekima” … Ambaye aNahukumu vitu Na kuvieka kwenye hali nzuri, Na aNavieka sehemu yake ambayo iNafaa Kwa kudura zake Allah Mtukufu.

“Mwenye hekima” … Alieka sharia Kwa hekima yake, Na akaeka suNa Kwa hekima yake, sharia zake Ni hekima tupu katika makengo yake Na siri zake Na mwisho Wake WakiduNia Na Wakiakhera.

“ Mwenye hekima” … Mwenye hekima katika alivyopanga Na kuamua, Mwenye hekima katika kumjalia fakiri kuWa fakiri, Na kumfanya mgonjWa abaki Na ugonjWa Wake Na unyonge Wake, Na kumfanya mdaiWa kubaki katika dhiki yake Na kutopata chakulipa deNi lake, hakuNa dosari yoyote katika mipango yake, Wala maneno yake Na vitendo vyake haviingii dosari yoyote, yuko Na hekima ya hali ya juu.

“Mwenye hekima”… ANaye Wapatia ilhamu Waja Wake ya hekima Na maarifaNa wekevu Na upole Na kuweka mambo katika sehemu yake sahihi.

“Mwenye hekima” yeye Ndie aliye Na hekima za hali ya juu katika kuumba kWake Na kuamrisha kWake, hajiumbii kitu hovyo bila sababu, Wala haamrishi jambo bila sababu, Ambaye hukumu Ni yake Yeye mWanzo Na mwisho.

Allah Ni muadilifu kuliko mahakimu wote, hakutokei kitu chochote ulimwenguNi isipokuWa kWa idhiNi yake, yeye pekee ndie aNahalalisha Na kuharamisha, hukumu Ni ile aliohukumu yeye, Na diNi Ni ile alio amrisha au aliokataza, hakuNa mwenye kumuuliza kWasababu gaNi kahukumu hivyo, Na hakuNa Wakupinga amri Na kadari yake.

“Mwenye hekima” …Hamdhulumu yeyote … Muadilifu katika amri zake Na makatazo yake Na habari zake.

Hakika yeye Ni Allah Mwenye hekima Mwenye kuhukumu…



Tags: