Hakika yeye Ni Allah Mwenye kujua kila kitu, Mwenye kujua yaliyo ya dhahiri, Na Mwenye kukusanya yote.
“Mwenye kujua kila kitu, Mwenye kujua yaliyo ya dhahiri Mwenye kukusanya”
Ambaye elimu yake imeenea kila kiNachoonekaNa Na kilichofichika,cha siri Na cha jahari, viNavyowezikaNa Na visivyo wezikaNa, aNayejua viumbe vyote vya juu Na vya chiNi, aNayejua ya sasa Na yaliopita Na yatakayo kuja; hakifichiki chochote kWake.
Mwenye kujua kila kitu, Mwenye kujua yaliyodhahiri: {Hakika kuijua Saa (ya Kiyama) kuko Kwa Mwenyezi Mungu. Na Yeye ndiye aNaye iteremsha mvua. Na aNavijua viliomo ndaNi ya matumbo ya uzazi. Na haijui Nafsi yoyote itachuma NiNi kesho. Wala Nafsi yoyote haijui itafia nchi gaNi. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujua, Mwenye khabari. } (Luqman: 34) {Allah Mwenye kujua kila kitu Mwenye kukusanya} {ANajua viliomo katika mbingu Na ardhi, Na aNajua mNayo yaficha Na mNayo yatangaza. Na Mwenyezi Mungu Ni Mjuzi WA yaliomo vifuaNi. } (At-taghabun: 4)
Yeye Ni Mjuzi WA kila kitu: {Mwenyezi Mungu Ni yule ambaye ameziumba mbingu Saba, Na ardhi Kwa mfano WA hizo. Amri zake ziNashuka baiNa Yao, Ili mjue kWamba Mwenyezi Mungu Ni Mwenye uweza juu ya kila kitu, Na kWamba Mwenyezi Mungu amekizunguka kila kitu kukijua vilivyo Kwa ilimu yake} (At talaq: 12)
Na amesema Allah Mtukufu: {Na kWamba Mwenyezi Mungu amekizunguka kila kitu kukijua vilivyo Kwa ilimu yake} (At talaq: 12)
Hakika yeye Ni Allah Mwenye kujua kila kitu Mwenye kujua yaliyo ya dhahiri Mwenye kukusanya…