Allah Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu

Allah Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu

Allah Mwingi WA rehema Mwenye kurehemu

Yeye Ni Allah Mwingi WA rehema Mwenye kurehemu…

Ameandika rehema katika Nafsi yake, Na rehema zake imetangulia ghadhabu zake, Na rehema zake zimeenea kila kitu. {Bila shaka rehema ya Mwenyezi Mungu iko karibu Sana Na WaNaofanya mema} (Al-a’araf: 56)

Hakika yeye Ni Mwingi Warehema Mwenye kurehemu… ANa huruma kwetu zaidi kuliko huruma ya mamazetu kwetu, asema Mtume (s.a.w) kuashiria mWaNamke aNayemnyonyesha mWaNawe: &"Je! MWamuoNa huyu aNaweza kumtupa mWaNawe motoNi? Tukasema la1 haiwezikaNi,akasema Mtume(s.a.w) basi Allah aNahuruma kWa Waj aWake kuliko huyu mama kWa mtoto Wake.&" (ImepokeWa Na Albukhari)

Hakika yeye Ni Mwingi WA rehema Mwenye kurehemu… ANarehema viumbe vyote, Na ameWatengea WaumiNi rehema makhsusi kWao, {Naye Ni Mwenye kuWarehemu Sana Waislamu} (Ahzab: 43)

Mwingi Wa Rehema, Mwenye kurehemu,Mwema ,Mkariim, mwenye kujibu maombi ya Waja Wake, Mwenye huruma,Mwenye kutoa .haya majiNa maaNa yake yaNakaribiaNa, Na yote yaonesha kuWa Allah aNasifika Na rehema Na wema Na ukarimu ,yote yaonesha kuenea kWa rehema zake ambazo zimeenea kila kitu, kulingaNa Na hekima yake,Na akaWajalia WaumiNi kuWa Na fungu kubWa, Na sehemu kamilifu, amesema Allah Mtukufu: { Na rehema yangu iNaweza kukienea kila kitu lakiNi NitaWaandikia Wale WaNaojikinga Na yale NiliyoWakataza } [A’araf :156] neema Na wema zote hizi Ni athari za rehema yake Allah Na ukarimu Wake Na kheri za duNiaNi Na za akhera zote Ni athari za rehema zake.

Hakika yeye Ni Mwenye kurehemu… MiongoNi mWa rehema zake Nikututumia Muhamad (s.a.w) kuWa rehema Kwa Walimwengu wote, awe mwenye kuongoa Watu wote, mwenye kuWahifadhia maslahi yake ya kiduNia Na yakiakhera.

Hakika yeye Ni Mwenye kurehemu… HakuNa mwenye kuzuia rehema zake isipokuWa yeye mwenyewe, Na hakuNa mwenye kuziachilia isipokuWa yeye mwenyewe. {Rehema aNayoifungua Mwenyezi Mungu Kwa Watu, hakuNa WA kuizuia; Na aNayoizuia hakuNa WA kuipeleka mbele (isipokuWa atakapotaka) Naye Ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima.} (Fatir: 2)



Tags: