Hakika Allah ANatosha Na Mwenye kutosheleza: Allah aNaWatosha Waja Wake, Na aNaWatosheleza katika kila kitu. {Je! Mwenyezi Mungu si WA kumtosheleza mja Wake? } (Az-zumar: 36)
Allah aNatutosha, Naye Ni mbora Wa kutegemeWa, aliyasema maneno haya kipenzi chake Allah Ibrahim (a.s) alipotupWa kwenye moto; moto ukaWa baridi teNa yenye amaNi, Na Wakayasema masahaba Wa Mtume (s.a.w) katika maneno yake Allah Mtukufu : { KuNa Watu WamekukusanyikieNi, WaogopeNi! Hayo yakaWazidishia ImaNi, Wakasema} (Ali-imran: 173)
Wakasema {Mwenyezi Mungu aNatutosha, Naye Ni mbora WA kutegemeWa... Basi Wakarudi Na neema Na fadhila za Mwenyezi Mungu. HapaNa baya lilio Wagusa, Na Wakafuata yaNayo mrithi Mwenyezi Mungu. } (Aali-imran: 173-174)
“Muhasibu”…ANayeWajua Waja Wake aNayeWatosheleza WaNaomtegemea, mwenye kulipa Waja Wake kheri Na shari, kulingaNa Na hekima yake Na kujua kWake vitendo vyao vidogo Na vikubWa.Allah Ni Mzuri Wa kuhisabu Waja Wake, Mwenye kuWahesabu katika aa’amali zao, Na kuWalipa kulingaNa Na matendo yao, kama Ni kheri kWa kheri Na kama Ni shari kWa shari, malipo kWa Waliyo ya fanya. {Naye Ni Mwepesi kuliko wote WaNao hisabu.} (Aali-a’am: 62)
“Mhasibu” AliyeWazunguka Na kuWajua kikweli kweli, aNayejua Kwa kiNa yaliyo ya dhahiri Na yaliyojificha katika matendo ya Waja Wake.
Ewe Mola Mlezi ewe Utoshae, tWakuomba ututosheleze katika Yale ambayo yaNatusumbua, Na utuonyeshe njia ya uongofu, Na utuzidishie kheri ewe Allah Mkarimu. {Na Mwenyezi Mungu aNatosha kuWa Mhasibu.} (An-Nisaa: 6)
Hakika yeye Ni Allah Mhasibu ANayetosha…