“Hakika yeye Allah Ni AmaNi”… Allah Ni Mwenye salama (amaNi) Na kWake yatoka salama, hapati mja amaNi Na salama isipokuWa amaNi Na salama kutoka kWake, Na kufaulu hakukamiliki isipokuWa Kwa tawfiq yake Mtukufu.
&"Hakika yeye Ni Mwenye salama,”… Aliye salimika Na kila pungufu Na aibu, Mwenye kuWasalimisha wengine kutokaNa Na matatizo Na Shari.
&"Hakika yeye Ni Mwenye salama,”… Sifa zake zimesalimika Na kufaNaNishWa Na viumbe pia kuekWa saWa Navyo, Amesalimika kutokaNa Na pungufu zote, Na sifa zake zote zimesalimika kutokamaNa Na sifa zote pungufu, elimu yake imekamilika teNa ikasalimika, uadilifu Wake Ni kWakila kitu Na uliosalimika, ufalme Wake umekamilika Na umesalimika Na hukumu yake pia imesalimika, kadhaa yake pia imesalimilika, yeye Ni salamu Na kWake yatoka salamu ametakasika Mola Mwenye cheo Na Ukarimu.
Allah amejalia Waja Wake salama katika nyumba mbili (duNia Na akhera) {Iwe salama Kwa Ibrahim!} (As-sWafat 109), {Iwe salama Kwa Musa Na HaruNi!} (As-sWafat 120), {Na Salamu juu ya Mitume} (As-sWafat: 181), Na akhera amesema Allah Mtukufu: {(WataambiWa :) IngieNi Kwa salama Na AmaNi} (Al-hifr: 46)
&"Mwenye salama,”… Salama Na amaNi iliyokamilika isiyokuWa Na hofu baadaye, Na msamaha usiyokuWa Na uoga baadaye.
Yeye Ni salama Na kWake yatoka salama
Mwenye salama…