Athari za Majina ya Allah katika ulimwenguni

Athari za Majina ya Allah katika ulimwenguni

Athari za MajiNa ya Allah katika ulimwenguNi

Kuyajua majiNa mazuri ya Allah Na sifa zake za juu, Ni elimu tukufu zaidi kuliko zengine, kila jiNa lake Allah liko Na sifa maalumu, majiNa yake Ni sifa nzuri pekee Na zilizo kamilika, Na kila jiNa liko Na muktadha (mazingira) yake Na vitendo vyake, Na kila kitendo kiNacho fanyWa Na kiumbe chake yeye ndiye muhusika Wa kweli, Na Ni muhali kuvua dhati yake Na majiNa yake, Na kuvua majiNa yake Na sifa zake Na maaNa yake ,Na kuvua sifa Na muktadha yake ya vitendo vyake, Na kuvua vitendo Na wenye kufanya Na athari zake, Na zote hizi Ni athari za vitendo vyake Na majiNa Na sifa zake.

Vitendo vyake Ni hekima Na maslahi matupu, Na majiNa yake Ni mazuri, kujaribu kuzivua Na kazi yake Ni muhali kWake Allah, kWa hiyo aNapinga mwenye kukataa amri zake Na makatazo yake, Na thaWabu zake Na adhabu zake, kWa hilo iNakuWa umemuelekezea Allah yasiyolingaNa Naye Na utakuWa umemuekelea yale aNayotakasWa Allah Nayo, Na hii Ni hukumu mbaya kumuhukumu Allah kWayo, Na mtu yeyote atakaye mNasibisha Allah Na hayo atakuWa hajamtukuza Allah uhakika Wa kumtukuza, Wala kumtakasa kikwelikweli, kama alivyo sema Allah kWa Wale wenye kukataa uNabii Na kutuma kWake Mitume Na kuteremsha vitabu: { Na haWakumkadiria Mwenyezi Mungu kWa haki ya kadri yake, Waliposema: Mwenyezi Mungu hakumteremshia mWaNaadamu chochote. } (Ala’am: 91)

Na mesema Allah kuhusu Wale Waliokataa kufufuliWa Na kukataa thaWabu Na adhabu: {Na Wala haWakumhishimu Mwenyezi Mungu Kama aNavyo stahiki kadiri yake. Na Siku ya Kiyama ardhi yote itakuWa mkonoNi mWake, Na mbingu zitakunjWa katika mkono Wake WA kuume. } (Az-zumar: 67)

Na amesema Allah kuhusu Wale Waliofanya vitu viko saWa, Kwa mfano kuweka saWa baiNa ya vitu vilivyo tafauti, Kama wema Na Waovu, WaumiNi Na makafir: {Je! WaNadhaNi WaNaotenda maovu kuWa tutaWafanya Kama WalioamiNi, Na Wakatenda mema, saWasaWa uhai Wao Na kufa kWao? Ni hukumu mbaya WaNayoihukumu! } (Al-jaathia: 21)

Akaelezea Allah kWamba hii Ni hukumu mbaya isiyolingaNa Naye, majiNa Na sifa zake zapingaNa Nao vikali: amesema Allah Mtukufu: {Je! MlidhaNi ya kWamba tulikuumbeNi bure Na ya kWamba nyinyi kwetu hamtarudishWa? Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme WA Haki, hapaNa mungu ILA Yeye, Mola Mlezi Wa A&" rshi Tukufu. } (Al-muuminun: 115-116)

Ametakasika Allah kutokaNa Na dhaNa hizi Na fikra Kama hizi ambazo hazikubaliaNi Na majiNa yake Na sifa zake.

Na mfano WA hizi kwenye quran Ni mwingi Sana, aNakanusha Allah katika aya hizo kuhusu Nafsi yake kinyume Na matakWa ya majiNa Na sifa zake; kWasababu hiyo, iNalazimu vya kukataa ukamilifu WA sifa zake Na muktadha Wake.

JiNa lake “ Mwenye kusifika Na kila sifa Mwenye utukufu” halikubali mtu kuachWa bure bila faida, kWamba haWaamrishwi Wala haWakatazwi, haWalipwi thaWabu Wala madhambi kadhalika jiNa lake la “Hakimu” lakataa hayo, kadhalika jiNa lake “Mfalme”,

Na jiNa lake “Mwenye uhai” lakataa kumfanya Allah hafanyi lolote, bali uhakika Wa uhai Ni kitendo tosha, kila Aliye hai Ni mfanyaji, Na kWakuWa Allah ndiye “Muumba Wa hakika” “Msimamia kila jambo” lazima awe yuko hai.

Na jiNa lake Ni “Mwenye kusikia” “Mwenye kuoNa” lazima kuwe Na vyenye kusikika Na kuonekaNa, Na kWamba jiNa lake Ni Mwenye kuumba lazima kupatikane kiumbe, vilevile jiNa lake “Mwenye kuruzuku”, Na “Mfalme”, laziNa kuwe Na ufalme Na utendaji mambo Na upangaji mikakati Na kutoa Na kunyima Na kutenda wema Na uadilifu Na kutoa, thaWabu Na madhambi. MiongoNi mWa majiNa yake “Mwema Mwenye kufanya wema” “Mwenye kutoa Mwenye kuneemesha”. Na mengine, lazima yawe Na athari zake Na viambataNishWa vyake.

MiongoNi mWa majiNa yake Mwenye kusamehe Mwenye kukubali toba Mwenye kughufiria, lazima yawe Na uhusiano Na vitu vyengine, lazima kuwe Na kosa mpaka lisamehewe, Na kupatikane toba mpaka ikubaliwe, Na makosa mpaka ya futwe, Na lazima ya jiNa lake Mwenye kuhukumu kuwe Na uhusiano Wa kitu mpaka idhihirike hukumu yake; kWasababu ulazima Wa majiNa haya kWa athari zake, Ni kama ilivyo kwenye ulazima Wa majiNa Muumba, Mwenye kuruzuku, Mwenye kutoa Mwenye kuzuia kuWapa viumbe vyake, wenye kuruzukiWa wenye kupeWa Na wenye kunyimWa, Na MajiNa ya Allah yote Ni Mazuri.

Allah Mtukufu aNapenda dhati yake Na sifa zake Na majiNa yake, yeye Ni Mwenye kusamehe Na aNapenda kusamehe, Na aNapenda msamaha, Na aNapenda toba , Na aNafurahi kWa toba ya mja Wake Wakati aNapo tubia furaha kubWa iNayoingia akiliNi Na kuifikiria Na aNamtubia Na kumsamehe.

Naye Allah Mtukufu “Mwenye kusifika Na kila sifa Mwenye utukufu, sifa zake Na utukufu Wake uNalazimu athari zao, Na miongoNi mWa athari zao Ni kusamehe aliye teleza. Na kuondoa makosa, Na kusamehe madhambi madogo, Na msamaha kwenye makosa ya jiNai, pamoja Na ukamilifu Wa uwezo Wake Wa kurudisha haki, Na kujua kWake Allah jiNai lenyewe Na kiWango cha adhabu yake, basi upole Wake Ni baada ya elimu yake, Na msamaha Wake baada ya uwezo Wake, Na maghfira yake yatokaNa Na ukamilifu Wa nguvu zake Na hekima yake, kama alivyo sema Allah Aliyetukuka: kupitia ulimi Wa Masihi Issa ibn Maryam: {UkiWaadhibu basi hao Ni Waja Wako. Na ukiWasamehe basi Wewe ndiye Mwenye nguvu Na Mwenye hikima. } (Al-maidah: 118)

YaNi msamaha Wako WatokaNa Na ukamilifu WA uwezo Wako Na hekima yako. Hauko saWa Na mwenye kusamehe Kwa kushindWa, au kusamehe Kwa kutojua kiWango cha haki, bali wewe uNaifahamu haki yako, Na uNao uwezo Wakuichukua, Mwenye hekima katika kulipiza kisasi.

Mwenye kuzingatia kuenea kWa athari za majiNa ya Allah Na sifa zake ulimwenguNi, Na katika maamrisho yake, aNagundua mwenye kulipa jiNai haya Ni mWaNadamu, Na Mwenye kukadiria Ni ukamilifu Wa MajiNa yake Allah Na sifa zake Na vitendo vyake, Na lengo lake pia Ni ukamilifu Wa sifa zake Na utukufu Wake, kama vile iNalazimu tawhiid ya uungu Na tawheed ya ubWaNa.

Katika kila alilo hukumu Na kukadiria kuNa hekima kubWa saNa, Na kuNa alama kubWa, Na kuWatambulisha Waja Wake MajiNa yake Na Sifa zake, Na kutakikaNa Wampende yeye, Na kumtaja, Na kumshukuru, Na kumWabudu kupitia MajiNa yake Mazuri, kWasababu kila jiNa liNa ibada maalumu kWake yeye elimu yake maarifa yake Na hali yake. Na mWaNadamu aliyekamilika kuWa mja Wa Allah Ni Yule aNayemuabudu Allah kWa majiNa yake yote Na sifa zake .ambazo aNazioNa mja, haimzuii ibada ya jiNa flaNi kuioNa ibada nyengine ya jiNa lengine, kama kufichika kWa mwenye kuabudu kWa jiNa Muweza kWa kuabudu kWa jiNa Mpole, ama kWa ibada kWa jiNa Mwenye kurehemu kufichika jiNa Mwenye kutoa, ama kufichika kuabudu kWa jiNa Mwenye kuzuia kWa kuabudu kWa jiNa Mwingi Wa rehema, ama Mwenye msamaha, au Mwenye maghfira kutokaNa kWa jiNa Mwenye kulipiza kisasi Na mifano mingine .

Amesema Allah Mtukufu: {Na Mwenyezi Mungu aNa majiNa mazuri kabisa, basi muombeNi kWa hayo} (Al-a’araf: 180), Na kumuomba Allah kWa MajiNa haya yakusanya aiNa zote za dua, dua ya kuomba, dua ya kumshukuru Allah dua ya kuabudu, Naye Allah aliyetukuka aNaWataka Waja Wake kumtambua yeye Na kuyatambua majiNa yake Na sifa zake ili Wamsifu yeye kWa sifa hizo, Na Wachukuwe fungu lao la ibada katika majiNa Na sifa hizo.

HafaNaNi Na chochote katika viumbe vyake, Wala hakuNa kiumbe chochote kiNachofaNaNa Naye, bado angali Na majiNa yake Na sifa zake.

Imamu Abuu HaNifa

Yeye Allah Mtukufu aNapenda kWa mujibu Wa majiNa yake Na sifa zake; yeye Ni Mwenye ilimu aNapenda kila Mwenye ilimu, Ni Mkarimu aNapenda kila mkarimu, Ni witri aNapenda witri, Ni Mzuri aNapenda uzuri, Ni Msamehevu aNapenda kusamehe Na wenye kusamehe, Mwema aNapenda wema, Mwenye shukraNi aNapenda wenye kushukuru, Mwenye subra aNapenda wenye subra, Mpole aNapenda Wapole, kWakupenda kWake toba Na kusamehe Na kughufiria ameumba wenye kuWasamehe Na kukubali toba zao Na kuWafutia madhambi yao.



Tags: