Maana ya ikhlasi( kumtakasia Allah ibada)

Maana ya ikhlasi( kumtakasia Allah ibada)

MaaNa ya ikhlasi (kumtakasia Allah ibada)

Mwenye kumjua Allah humpenda Na humuabudu Na humtakasia ibada yeye pekee

Ikhlasi Ni bustaNi la Watu wema, Na Ni roho ya Wacha Mungu, Na Ni siri baiNa ya Mja Na Mola Wake, Nayo ndiyo iNayoondoa Wasisi Na kujionesha, Na maaNa yake Ni kufanya a’amali kWa kukusudia radhi za Allah, bila kumuelekea yoyote isipokuWa yeye. Wala moyoNi mWako musiwe Na malengo mengine isipokuWa haya tu, Wala husitafute kwenye ibada yako sifa Wala shukuraNi za Watu, Wala usitarajie malipo kutoka Kwa mwengine asiye kuWa Allah.

AlikuWa Ayubu AssajistaNiy akisimama kusali usiku kucha Na kulificha Hilo, Na ikifika asubuhi aNaenua sauti yake Kama ambaye ndio aNamka Wakati huu.

Ikhlasi Ni ukamilifu Wa a’amali Na uzuri Wake, Nacho ndicho kitu kikubWa duNiaNi,Nayo Ni kumpwekesha Allah katika makusudio katika kumtii Allah, Nayo Nikusahau kuWa Watu WaNakuoNa kWa wingi Wa kumlindizia Allah Mwenye nguvu Na utukufu,kWaNi ibada yoyote itakayofanyWa kWa ajili ya Allah ndiyo itakayo lipWa,Na ibada yoyote itakayofanyiWa mwengine asiye kuWa Allah iNaenda patupu. Amesema Mtume (s.a.w): &" Hakika matendo yote yazingatiWa Niya, Na mtu atalipWa kulingaNa Na Nia yake, basi atakaye Hama Kwa ajili ya kupata pato lakiduNia au mWaNamke kumuoa basi atapata Yale alio hamia.&" (ImepokeWa Na Al-bukhari)

Sehemu ya ikhlasi kwenye diNi

Ikhlas kwenye diNi iNadaraja ya juu Sana, haifikiwi Na chochote, kWasababu haikubaliwi a’amali yoyote bila ikhlas, Na Allah alitukumbusha kuhusu ikhlas katika Qur’an takatifu katika aya nyingi. MiongoNi mWazo: {Nao haWakuamrishWa kitu ILA Wamuabudu Mwenyezi Mungu Kwa kumtakasia DiNi} (Al-bayiNa: 5)

Amesema Allah Mtukufu: {Sema: Hakika Sala yangu, Na ibada zangu, Na uhai Wangu, Na kufa kWangu, Ni Kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi WA viumbe vyote. HaNa mshirika Wake. Na hayo ndiyo Niliyo amrishWa, Na Mimi Ni Wa kWanza Wa Waislamu. } (Al-an’am: 162-163)

Na akasema Allah: {Ambaye ameumba mauti Na uhai Ili kukujaribuNi Ni NaNi miongoNi mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye Ni Mwenye nguvu Na Mwenye msamaha. } (Al-mulku: 2)

Na akasema Allah teNa: {Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki Kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia DiNi Yeye Tu.* Hakika DiNi Safi Ni ya Mwenyezi Mungu Tu.} (Az-zumar: 2-3)

Na akasema: {Sema: Mimi Ni mWaNaadamu Kama nyinyi. NiNaleteWa Wahyi kWamba Mungu wenu Ni Mungu Mmoja. Mwenye kutaraji kukutaNa Na Mola Wake Mlezi basi Naatende vitendo vyema, Wala asimshirikishe yeyote katika ibada ya Mola Wake Mlezi. } (Al-kahfi: 110)



Tags: